1 Nya. 19:4 SUV

4 Basi Hanuni akawatwaa watumishi wa Daudi, akawanyoa, akawakatia nguo zao katikati, hata matakoni, akawatoa waende zao.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:4 katika mazingira