1 Nya. 20:5 SUV

5 Kulikuwa na vita tena na Wafilisti; na Elhanani, mwana wa Yairi akamwua Lahmi nduguye Goliathi, Mgiti, ambaye mti wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumaji.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 20

Mtazamo 1 Nya. 20:5 katika mazingira