1 Nya. 21:22 SUV

22 Ndipo Daudi akamwambia Arauna, Unipe mahali pa kiwanja hiki, ili kwamba nimjengee BWANA madhabahu hapa; kwa thamani yake kamili utanipa; ili kwamba tauni izuiliwe katika watu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:22 katika mazingira