1 Nya. 21:23 SUV

23 Arauna akamwambia Daudi, Ujitwalie, na bwana wangu mfalme na afanye yaliyo mema machoni pake; tazama, ng’ombe kwa sadaka za kuteketezwa, na vyombo vya kupuria kwa kuni, na ngano kwa sadaka ya unga, nazitoa; zote nazitoa.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:23 katika mazingira