1 Nya. 21:24 SUV

24 Mfalme Daudi akamwambia Arauna, La, sivyo, lakini kweli nitazinunua kwa thamani yake kamili; kwani sitamtwalia BWANA kilicho chako, wala kutoa sadaka ya kuteketezwa isiyo na gharama.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:24 katika mazingira