1 Nya. 27:15 SUV

15 Akida wa kumi na mbili wa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heledi, Mnetofathi, wa Othnieli; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 27

Mtazamo 1 Nya. 27:15 katika mazingira