1 Nya. 27:16 SUV

16 Tena wakuu wa kabila za Israeli walikuwa hawa; wa Wareubeni, Eliezeri mwana wa Zikri; wa Wasimeoni, Shefatia mwana wa Maaka;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 27

Mtazamo 1 Nya. 27:16 katika mazingira