1 Nya. 27:24 SUV

24 Yoabu, mwana wa Seruya, akaanza kuhesabu, lakini hakumaliza; na ghadhabu ikawapata Israeli kwa hayo; wala haikuhesabiwa hesabu hiyo ndani ya taarifa za mfalme Daudi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 27

Mtazamo 1 Nya. 27:24 katika mazingira