1 Nya. 28:21 SUV

21 Na tazama, hizo zamu za makuhani na Walawi ziko, kwa utumishi wote wa nyumba ya Mungu; nao watakuwapo pamoja nawe kwa kazi ya kila namna, kila mtu mwenye hiari, aliye stadi kwa utumishi wo wote; tena maakida na watu wote watakuwa chini ya amri yako kabisa.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 28

Mtazamo 1 Nya. 28:21 katika mazingira