1 Nya. 29:17 SUV

17 Nami najua, Mungu wangu, ya kuwa wewe wajaribu moyo, nawe wapendezwa na unyofu. Nami katika unyofu wa moyo wangu nimeyatoa haya yote kwa hiari yangu mwenyewe; nami sasa nimeona kwa furaha watu wako, waliopo hapa, wakikutolea kwa hiari yao.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:17 katika mazingira