1 Nya. 29:18 SUV

18 Ee BWANA, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, baba zetu, ulilinde jambo hili milele katika fikira za mawazo ya mioyo ya watu wako, ukaiongoze mioyo yao kwako;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:18 katika mazingira