1 Nya. 29:19 SUV

19 naye Sulemani mwanangu, umpe moyo mkamilifu, ili azishike amri zako, na shuhuda zako, na maagizo yako, akayatende hayo yote na kuijenga nyumba hii ya enzi, niliyoiwekea akiba.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:19 katika mazingira