1 Nya. 29:20 SUV

20 Ndipo Daudi akawaambia kusanyiko lote, Haya, mhimidini BWANA, Mungu wenu. Basi kusanyiko lote wakamhimidi BWANA, Mungu wa baba zao, wakainama vichwa vyao, wakamsujudia BWANA, na mfalme naye.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:20 katika mazingira