1 Nya. 29:8 SUV

8 Na wale walioonekana kuwa na vito vya thamani wakavitoa vitiwe katika hazina ya nyumba ya BWANA, chini ya mkono wa Yehieli, Mgershoni.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:8 katika mazingira