1 Nya. 29:9 SUV

9 Ndipo hao watu wakafurahi, kwa sababu wametoa kwa hiari yao wenyewe, kwa sababu kwa ukamilifu wa moyo, kwa hiari yao wenyewe, wamemtolea BWANA; mfalme Daudi naye akafurahi kwa furaha kuu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:9 katika mazingira