1 Nya. 5:20 SUV

20 Wakapata msaada juu yao, nao Wahajiri walitiwa mikononi mwao, na wote waliokuwa pamoja nao; kwa kuwa walimlingana Mungu pale vitani; naye akayatakabali maombi yao, kwa sababu walimtumaini yeye.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 5

Mtazamo 1 Nya. 5:20 katika mazingira