1 Nya. 5:21 SUV

21 Wakateka nyara ng’ombe zao, na ngamia zao hamsini elfu, na kondoo zao mia mbili na hamsini elfu, na punda zao elfu mbili; na watu mia elfu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 5

Mtazamo 1 Nya. 5:21 katika mazingira