1 Nya. 6:33 SUV

33 Na hawa ndio waliofanya huduma pamoja na wana wao. Katika wana wa Wakohathi; Hemani mwimbaji, mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:33 katika mazingira