1 Nya. 6:32 SUV

32 Nao wakafanya kazi yao ya kuimba mbele ya maskani ya hema ya kukutania, hata Sulemani alipokuwa amejenga ile nyumba ya BWANA huko Yerusalemu; pia wakaisimamia huduma yao sawasawa na zamu zao.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 6

Mtazamo 1 Nya. 6:32 katika mazingira