1 Nya. 7:7 SUV

7 Na wana wa Bela; Esboni, na Uzi, na Uzieli, na Yerimothi, na Iri, watano; wakuu wa mbari za baba zao, watu hodari wa vita; nao wakahesabiwa kwa vizazi vyao watu ishirini na mbili elfu na thelathini na wanne.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 7

Mtazamo 1 Nya. 7:7 katika mazingira