1 Nya. 7:8 SUV

8 Na wana wa Bekeri; Zemira, na Yoashi, na Eliezeri, na Elioenai, na Omri, na Yeremothi, na Abiya, na Anathothi, na Alemethi. Hao wote ndio wana wa Bekeri.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 7

Mtazamo 1 Nya. 7:8 katika mazingira