1 Nya. 8:13 SUV

13 na Beria, na Shema, waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Aiyaloni, wale ambao waliwakimbiza wenyeji wa Gathi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 8

Mtazamo 1 Nya. 8:13 katika mazingira