1 Nya. 9:26 SUV

26 kwa maana wale wangojezi wanne, waliokuwa wakuu, nao ni Walawi, walikuwa na kazi ya kuamaniwa, tena walikuwa juu ya vyumba na juu ya hazina katika nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 9

Mtazamo 1 Nya. 9:26 katika mazingira