1 Nya. 9:27 SUV

27 Nao wakalala kandokando nyumbani mwa Mungu, kwa kuwa ulinzi wake ulikuwa juu yao, nayo ilikuwa kazi yao kuyafungua malango asubuhi baada ya asubuhi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 9

Mtazamo 1 Nya. 9:27 katika mazingira