15 Basi Samweli akaondoka, akapanda kutoka Gilgali mpaka Gibea ya Benyamini. Naye Sauli akawahesabu watu waliokuwapo pamoja naye, wapata kama mia sita.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 13
Mtazamo 1 Sam. 13:15 katika mazingira