16 Naye Sauli, na mwanawe Yonathani, na watu waliokuwapo pamoja nao, wakakaa huko Geba ya Benyamini; lakini Wafilisti wakatua katika Mikmashi.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 13
Mtazamo 1 Sam. 13:16 katika mazingira