1 Sam. 14:10 SUV

10 Lakini wakisema hivi, Haya! Ninyi, tupandieni sisi; hapo ndipo tutakapopanda; kwa maana BWANA amewatia mikononi mwetu; na hii itakuwa ndiyo ishara kwetu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:10 katika mazingira