1 Sam. 14:11 SUV

11 Basi, hao wote wawili wakajidhihirisha mbele ya ngome ya Wafilisti, na wale Wafilisti wakasema, Kumbe! Wale Waebrania watoka katika mashimo walimojificha!

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:11 katika mazingira