13 Basi Yonathani akapanda kwa mikono na miguu yake, na mchukua silaha nyuma yake; na hao watu wakaanguka mbele ya Yonathani; na huyo mchukua silaha zake akawaua nyuma yake.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 14
Mtazamo 1 Sam. 14:13 katika mazingira