1 Sam. 14:14 SUV

14 Na uuaji huo wa kwanza walioufanya Yonathani na mchukua silaha zake, ulipata kama watu ishirini, katika nafasi kama nusu ya kiwanja kiwezacho kulimwa katika siku nzima.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:14 katika mazingira