16 Nao wale walinzi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaangalia, na tazama, mkutano ule ulikuwa ukitoweka, na watu walikuwa wakienda huko na huko.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 14
Mtazamo 1 Sam. 14:16 katika mazingira