1 Sam. 14:2 SUV

2 Naye Sauli alikuwa akikaa katika upande wa mwisho wa Giba, chini ya mkomamanga ulioko kwenye uga; na hao watu waliokuwa pamoja naye walipata watu mia sita;

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:2 katika mazingira