1 Sam. 14:20 SUV

20 Naye Sauli na watu wote waliokuwapo pamoja naye wakakusanyika, wakaenda vitani; na tazama, huko upanga wa kila mtu ulikuwa juu ya mwenziwe, kukawa fujo tele kabisa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:20 katika mazingira