1 Sam. 14:21 SUV

21 Basi na wale Waebrania waliokuwa pamoja na Wafilisti tangu zamani, wale waliopanda pamoja nao mpaka maragoni toka nchi iliyozunguka; watu hao nao wakageuka kuwa upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:21 katika mazingira