22 Na vile vile watu wote wa Israeli waliokuwa wamejificha katika nchi ya milima milima ya Efraimu, waliposikia ya kwamba Wafilisti wamekimbia, hata hao nao wakawafuatia mbio vitani.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 14
Mtazamo 1 Sam. 14:22 katika mazingira