1 Sam. 14:33 SUV

33 Ndipo wakamwambia Sauli, wakisema, Angalia, watu hao wanakosa juu ya BWANA, kwa jinsi wanavyokula pamoja na damu. Naye akasema, Ninyi mmefanya kwa hiana; vingirisheni kwangu leo jiwe kubwa.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:33 katika mazingira