1 Sam. 14:32 SUV

32 Basi watu wakazirukia zile nyara, wakatwaa kondoo, na ng’ombe, na ndama, na kuwachinja papo hapo juu ya nchi, nao wale watu walikuwa wakiwala pamoja na damu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 14

Mtazamo 1 Sam. 14:32 katika mazingira