1 Sam. 15:22 SUV

22 Naye Samweli akasema,je! BWANA huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihuSawasawa na kuitii sauti ya BWANA?Angalia, kutii ni bora kuliko dhabihu,Na kusikia kuliko mafuta ya beberu.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:22 katika mazingira