1 Sam. 15:23 SUV

23 Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi,Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago;Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA,Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 15

Mtazamo 1 Sam. 15:23 katika mazingira