1 Sam. 16:23 SUV

23 Ikawa, ile roho mbaya kutoka kwa Mungu ilipomjilia Sauli, ndipo Daudi akakishika kinubi, akakipiga kwa mkono wake, naye Sauli akaburudishwa, na ile roho mbaya ikamwacha.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 16

Mtazamo 1 Sam. 16:23 katika mazingira