1 Wakati huo Wafilisti walikusanya majeshi yao kwa vita, nao wakakusanyika huko Soko, ulio mji wa Yuda, wakatua kati ya Soko na Azeka, katika Efes-damimu.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 17
Mtazamo 1 Sam. 17:1 katika mazingira