1 Sam. 17:20 SUV

20 Daudi akaondoka asubuhi na mapema, akawaacha kondoo pamoja na mchungaji, akavitwaa vitu vile, akaenda, kama Yese alivyomwamuru; akafika penye magari, wakati lile jeshi walipokuwa wakitoka kwenda kupigana, wakipiga kelele za vita.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:20 katika mazingira