1 Sam. 17:36 SUV

36 Mtumishi wako alimwua simba na dubu pia; na huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wao, kwa sababu amewatukana majeshi ya Mungu aliye hai.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:36 katika mazingira