37 Daudi akasema, BWANA aliyeniokoa na makucha ya simba, na makucha ya dubu, ataniokoa na mkono wa Mfilisti huyu. Sauli akamwambia Daudi, Enenda, na BWANA atakuwa pamoja nawe.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 17
Mtazamo 1 Sam. 17:37 katika mazingira