1 Sam. 17:39 SUV

39 Naye Daudi akajifunga upanga juu ya mavazi yake, akajaribu kwenda; maana alikuwa hajavijaribu. Daudi akamwambia Sauli, Siwezi kwenda na vitu hivi, maana sikuvijaribu. Basi Daudi akavivua.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:39 katika mazingira