1 Sam. 17:40 SUV

40 Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:40 katika mazingira