1 Sam. 17:7 SUV

7 Na mti wa fumo lake ulikuwa kama mti wa mfumaji; na kichwa cha mkuki wake kilikuwa shekeli mia sita za chuma uzito wake; na mtu aliyemchukulia ngao yake akamtangulia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:7 katika mazingira