1 Sam. 17:8 SUV

8 Naye akasimama, akawapigia kelele majeshi ya Israeli akawaambia, Mbona mmetoka kupanga vita? Je! Mimi si Mfilisti, na ninyi si watumishi wa Sauli? Jichagulieni mtu, akanishukie mimi.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 17

Mtazamo 1 Sam. 17:8 katika mazingira