1 Sam. 19:24 SUV

24 Naye akavua nguo zake, akatabiri mbele ya Samweli, akalala uchi mchana kutwa na usiku kucha siku ile. Kwa hiyo watu husema, Je! Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 19

Mtazamo 1 Sam. 19:24 katika mazingira