1 Sam. 20:1 SUV

1 Kisha Daudi akatoka Nayothi huko Rama, akakimbia, akaenda kwa Yonathani, akasema mbele yake, Nimefanya nini? Uovu wangu ni nini? Dhambi yangu mbele ya baba yako ni nini, hata akaitaka roho yangu?

Kusoma sura kamili 1 Sam. 20

Mtazamo 1 Sam. 20:1 katika mazingira